Search This Blog

Sunday, December 25, 2011

MAFURIKO YA DAR YAMUACHA UCHI DUA SAID...

MSHAMBULIAJI WA ZAMANI SIMBA SC DUA SAID AKITUONYESHA JINSI MAFURIKO YALIVYOARIBU NYUMBA YAKE.

HII NI PICHA YA PAMOJA YA WACHEZAJI WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO YA MVUA ILIYONYESHA JIJINI DAR ES SALAAM. WAPILI KUTOKA KUSHOTO NI SHAABANI RAMADHANI,MAALIM SALEH 'ROMARIO' MWENYE KIBARAKASHIA,DUA SAID,IBRAHIM MASOUD 'MAESTRO ', ROBERT DAMIANI,MTWA KIWHELU, MH IDD AZZAN NA MIMI.


HAPA DUA SAID AKIFANYA MAHOJIANO NA CLOUDS TV SEBULENI KWAKE .





HII NI MOJA YA SEHEMU ZA NDANI YA NYUMBA YA DUA SAID.


HII NDO HALI YA MOJA KATI VYUMBA


HAPA NI SEBULENI....


MASKINI DUA!! HAPA ALIKUA ANATUWEKEA UBAO ILI TUSIKANYAGE MATOPE WAKATI ANATUKARIBISHA NYUMBANI KWAKE..MBELE YANGU NI MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA GROUP BWANA RUGE MUTAHABA.


ARNOLD KAYANDA NDIYE ALIKUA ANAKIONGOZA KIKOSI CHA VIJANA WA CLOUDS FM NA TV WAKATI TUNATAKA KUINGIA KWENYE NYUMBA YA DUA SAID.





HAPA NI SEHEMU YA NJE YA NYUMBA YA DUA SAID NA HILO HAPO MBELE NI GARI LAKE AINA YA RANGE ROVER LILILOIBULIWA KWENYE MATOPE .


HAPA NI WAKATI NIKIFANYA MAHOJIANO NA MMOJA WA WAHANGA WA MAFURIKO MCHEZAJI WA ZAMANI WA VILABU VYA SIMBA NA YANGA MTWA KIWHELU.























3 comments:

  1. Pole sana Dua, siwezi kumsahau Dua Said kwa kweli. Mwenyezi Mungu akusaidie natumai utafanikiwa kurudi katika maisha yako ya kawaida.

    ReplyDelete
  2. duu ebwana pole yao maana hapo kibongobongo itachukua mwaka kuzichanga ili urudi kwenye stability

    ReplyDelete