Search This Blog

Wednesday, December 28, 2011

ENZI HIZO!!! WEWE ULIKUA WAPI?

KIKOSI CHA MAKONGO SECONDARY ENZI HIZO!

kutoka kushoto.
Tobi, Boniface Pawasa, Hamza Mohamed ( sina uhakika ), nimemsahau, Shamte Ngecha, Tito Andrew, Haruna Moshi ' Boban ', Amri Kiemba na Edwin Bigambo.




Tobi, Shaffih Dauda, Godfrey Stam, Dickson Msalike...hapa ilikua ni Kibaha mwaka 2000 nikiwa benchi kwenye mashindano ya Umiseta baina ya Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani..
















2 comments:

  1. kaka pamoja na ufundi wote ulikua mkekani?

    ReplyDelete
  2. Du ebwana hiyo nimeikubali, bonge la kumbukumbu kwenye hiyo picha ya kwanza hilo pozi la Kiemba ebwana aminia, huyo wa tano kutokakulia mbona kama anataka kufanana na nyoso.
    Hiyo picha ya pili watu wa namna ya shafii ndio tunawahitaji kwenye uongozi wa mpira kwani mmepitia kwenye mshike mshike halisi, kukaa benchi si tatizo inawezekana alikuwa supesub kuna watu ni wakali wakianzia benchi muangalie Defoe wa Spurs.
    Mike

    ReplyDelete