Search This Blog

Wednesday, December 28, 2011

DEBATE: ALICHOKIZUNGUMZA PAPIC ILIKUA SAWA ? MSIKILIZE HAPA!


4 comments:

  1. Kauli hii ya Katibu wa Yanga imenifurahisha, nimeinukuu kutoka katika gayeti la mwananchi " Kuhusu suala la Papic kukatiwa maji na umeme nyumbani kwake Upanga anakoishi, Mwesigwa alisema, "Hilo ni tatizo lake na mwenye nyumba wake kwanza aliitafuta mwenyewe, tuliyomtafutia sisi aliikataa, isitoshe tulimlipia maji kwa miezi miwili, na kuna fedha huwa anapewa ya umeme, pamoja na ya kutupa takataka sasa kama yeye anafanyia starehe hiyo ni shauri yake.

    Kazi ipo kocha kala hela ya umeme na maji.
    Mike.

    ReplyDelete
  2. inawezekana ya kiongozi yakawa sahihi,hawa wazungu wamesha ona hapa ndo kwakuvunia kaka.

    ReplyDelete
  3. Kaka Yanga ni wababaishaji sana...hakuna lolote...alichoongea Kocha ni sahihi...hapa UK mara moja kwa wiki tunaona makocha wanaongea na vyombo vya habari na kujibu maswali...nadhani huo ni utaratibu mzuri...sasa unajua Klabu zetu za bongo ujanja mwingi, viongozi wale fedha hizo hizo, maneno mengi...mimi simjui huyu kocha lakini naona yupo sahihi kabisa.

    ReplyDelete
  4. Shaffih haya yote kayataka huyu RIZONE Na ndie anaetuharibia timu anataka kulazimisha kuwa weka washkaji zake katika kila safu ya uongzi matokeo anatulazimisha kuwa weka hawa watu kina Nchunga sijui Mwesiga hawa si watu wa mpira kaka ni watu wa mahakamani tu hawajui hata fitna ya soka la kibongo dar yenyewe hawaijui

    ReplyDelete