OFFICIAL: MALIKA NDEULE AJIUNGA NA VILLA SQUAD KWA MKOPO
KLABU YA VILLA SQUAD IMEFANIKIWA KUWAHAMISHA KWA MKOPO WACHEZAJI WANNE TOKA AZAM FC KWA MKOPO AKIWEMO BEKI MAHILI WA KULIA MALIKA NDEULE, WACHEZAJI WENGINE WALISAJILIWA KWENYE HILI DIRISHA DOGO NI KAMA IFUATAVYO:
LEON KIMATHI-HURU ALLY MANZI- HURU SELEMAN MSENGI- HURU GERALD LUKINDO- HURU KHATIB KUDUKU- HURU SIXBERT MOHAMED- HURU MARTIN LUPART- HURU JOSEPH MUHANDI- KUTOKA AZAM FRED COSMAS -KUTOKA AZAM DAUD GABRIEL- KUTOKA AZAM IBRAHIM RAJAB 'JEBA' -KUTOKA AZAM
No comments:
Post a Comment