Search This Blog

Monday, September 19, 2011

TP MAZEMBE WANUNUA NDEGE YAO WENYEWE, SIMBA NA YANGA VIPI?










3 comments:

  1. soka mipango kaka,tuwape moyo Azam nadhani angalau watatutoa kimasomaso,hawa Simba na Yanga washakwisha,Hakuna Ubunifu tena Klabu zinaongozwa kwa mazoea na hisia za mashabiki,viwanja tu hawana wanagongea Chamanzi sembuse Ndege? HONGERA ZAO TP MAZEMBE afadhari na Mbwana Samata atapewa seat ya mbele pale,SOKA NA MAFANIKIO NI MIPANGO

    ReplyDelete
  2. shafii hawa jamaa wapo mbali sana kama mbele vile, sie tutabaki hivi hivi hasa kwa kuwa na viongozi wanaojali maslahi yao. Tuliambiwa simba wapo katika mchakato wa kujenga uwanja, kama watafanikiwa hiyo ndo itakuwa mwanzo wa maendeleo kama haya ya tp mazembe. lakini kama itakuwa ni hadithi basi wapenzi wa soka tanzania wasahau vitu kama hivi vya mazembe. uwanja ni hatua moja kubwa katika maendeleo ya kweli kwenye soka.

    ReplyDelete