Search This Blog

Friday, September 30, 2011

Gidamis Shahanga- WC Helsinki 1983 10,000m final

Mtanzania Gidamis Shahanga alifanya balaa kwenye mashindano ya dunia mbio za mita 10,000 huko Helsinki nchini Finland.






1 comment:

  1. kweli alifanya balaa, ukilinganisha na wakimbiaji tulionao sasa.

    siwalaumu wakimbiaji, bali nalaumu wenye jukumu la kuwezesha (wakimbiaji) wanamichezo wafanikiwe.

    iweje standard seven leaver awe mjumbe wa baraza la michezo la taifa?

    ReplyDelete