Search This Blog

Sunday, August 7, 2011

RATIBA YA KINESI BULLS CUP 2011/12.

PICHANI-WACHEZAJI WA KCSC WALIPOKUWA KATIKA MOJA YA MECHI ZA KIRAFIKI UWANJA WA USTAWI WA JAMII-KIJITONYAMA


UONGOZI NA WANACHAMA WA TIMU YA KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE WANAYO FURAHA YA KUWAJULISHA RASMI WADAU WETU WOTE POPOTE MLIPO KUWA TIMU YETU IMESHAPATA RATIBA YA MASHINDANO YA KINESI BULLS CUP 2011 YANAOANZA LEO TAREHE 06-AGOSTI-2011 KATIKA UWANJA WA KINESI –URAFIKI,TIMU YETU IMEPANGWA KUNDI A KUNDI LINALOSHIRIKISHA TIMU 6 ZA 1)MUGABE F.C, 2)SIMBA B,
3)ENTEBBE F.C,
4)KATABAZI S.C, 5)KIJITONYAMA S.C NA 6)KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE.

MASHINDANO HAYO YANASHIRIKISHA TIMU 24 ZIKIWEMO TIMU ZA AZAM B,YANGA B N.K TIMU YETU INAANZA KUCHEZA MECHI YA KWANZA NA TIMU YA ENTEBBE FC HAPO JUMANNE YA TAREHE 16-AGOSTI 2011 SAA 10:00,NA BAADA YA HAPO KCSC ITACHEZA MECHI YA PILI NA TIMU YA KIJITONYAMA S.C SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE27-AGOSTI,2011 NA MECHI YA TATU NI JUMANNE YA TAREHE 13-SEPTEMBA NA TIMU YA KATABAZI F.C, TUTAENDELEA KUTOA RATIBA YOTE MUDA UTAKAPORUHUSU,TUNAOMBA SANA WADAU WETU KUJA KUTUSHANGILIA NA KUWAONA VIJANA WADOGO TULIOWAPANDISHA TOKA U-17 YETU WALIOCHUKUA NAFASI ZA RASHID ESMAIL MKOKO NA RAMADHANI SALIM KIPALAMOTO TULIOWAUZA KWENDA SIMBA SPORTS CLUB U-20 NA ABUBAKARI MAYALLA TULIYEMPELEKA VILLA SGUAD U-20 KWA MKOPO,KARIBUNI SANA WADAU WETU WOTE WAKIWEMO MAKOCHA WA VILABU MBALIMBALI KUJA KUONA HAZINA YA VIPAJI AMBAVYO WANAWEZA KUVIHITAJI MSIMU WA DIRISHA DOGO LA VODACOM PRIMIER LEAGUE MWEZI NOVEMBA NA LIGI DARAJA LA KWANZA .

KARIBUNI
WENU KATIKA KUKUZA NA KUENDELEZA VIPAJI

CHRIS FIDELIS. MRATIBU-KCSC (+255 713 481980) 06-08-2011.

No comments:

Post a Comment