Search This Blog

Sunday, August 7, 2011

Hatimaye Chelsea imekubali kumsajili Romelu Lukaku.



Chelsea imekubali kumsajili mshambuliaji kinda Romelu Lukaku toka Anderlecht ya Ubelgiji.

Lukaku mwenye umri wa miaka 18 atajiunga na Chelsea mara tu baada ya kufaulu vipimo vya afya pamoja na kukubaliana mahitaji binafsi.





No comments:

Post a Comment