Search This Blog

Tuesday, August 23, 2011

HATIMAYE LASSANA DIARA KUJIUNGA NA SPURS

Real Madrid inategemea Lassana Diarra kujiunga na Tottenham ndani ya kipindi cha masaa 24.

Dili la uhamisho wa miaka 3 linakaribia kukamilika na ujio wa kiungo wa kifaransa mwenye thamani ya £10m unaweza kusababisha kuruhusiwa kuondoka kwa Luka Modric kujiunga na Chelsea.

Diarra, 26, anaweza kuanza kuitumikia Spurs dhidi ya Manchester City @ White Hart Lane jumapili.

No comments:

Post a Comment