Search This Blog

Friday, August 12, 2011

FRIEND MATCH: SC VILLA 0-0 AZAM





Klabu ya Azam FC leo imeendelea na ziara yao ya kujifua kwa ajili ya ligi msimu ujao nchini baada ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi Sports Club Villa ya nchini ya Uganda katika uwanja wa Nakivubo jijini Kampala.

No comments:

Post a Comment