Emmanuel Eboue anamalizia hatua za mwisho kuihama klabu ya Arsenal kuelekea Galatasary baada ya kufanyiwa vipimo vya afya leo nchini Uturuki.
Midfielder Eboue ambaye amekuwa hana nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Gunners msimu uliopita na kuondoka kwake kulitegemewa baada ya kutokupewa namba kwa ajili ya msimu mpya.
Eboue, 28, alijiunga na Arsenal mwaka 2005 akitokea Belgian side Beveren.

Arsenal inaweza kufanya vzuri licha yakuondokewa na nyota wake mana hapo anaefuatia ni Nasr
ReplyDelete