Search This Blog

Wednesday, August 17, 2011

BREAKING NEWS! TFF YAILIPA YANGA DENI LAKE LA MILIONI 18.5



TAARIFA NILIZOZIPATA HIVI PUNDE SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU NCHINI TANZANIA ( TFF ) HATIMAYE LIMEILIPA YANGA DENI LAKE LA SHILINGI MILIONI 18.5 ZIKIWA NI SEHEMU YA PESA ZA ZAWADI YA BINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM PAMOJA NA ZAWADI YA GOLIKIPA BORA WA MSIMU ULIOPITA YAW BERKO
HAPO JANA YANGA ILITANGAZA KUTOIPELEKA TIMU UWANJANI KWENYE MCHEZO WA NGAO YA HISANI LEO HII DHIDI YA SIMBA MPAKA ILIPWE DENI LAKE HILO.

*JAMANI MPAKA VITISHO NDIYO MADENI YALIPWE ? *

No comments:

Post a Comment