Search This Blog

Thursday, July 14, 2011

VEIRA ASTAAFU SOKA ACHUKUA MAJUKUMU YA NJE UWANJA


Mchezaji wa klabu ya Manchester City mfaransa Patrick Viera ametangaza rasmi kustaafu soka na sasa atachukua majukumu mapya ndani ya klabu hiyo ya Eastlands.
Viera mwenye umri wa miaka 35 aliachwa na City baada ya kuisha kwa msimu uliopita na sasa amekubali kuchukua nafasi ya football development executive na atakuwa akishugulikia maendeleo ya soka la vijana ndani ya klabu hiyo.








No comments:

Post a Comment