Search This Blog

Thursday, July 14, 2011

OFFICIAL: JEROME BOATENG KUJIUNGA NA BAYERN


Klabu ya Bayern Munich imethibitisha rasmi kuwa inakaribia kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ujerumani Jerome Boateng kutoka Man City..
Bayern wamekuwa wakimfuatilia Boateng kwa muda mrefu sasa na leo hatimaye wametangaza kufanikiwa kukubaliana na Man City dau la uhamisho ambalo halijatajwa na kuweza kumsaini Jerome kwa mkataba wa miaka 4.
Boateng, 22, alijiunga na City mwaka jana akitokea Hamburg lakini alishindwa kung'ara ndani ya Eastlands kutokana na kuandamwa na majeruhi.
Uhamisho wa beki huyo unatarajiwa kukamilika


The deal will be completed once Boateng has passed a medical in Bavaria.


No comments:

Post a Comment