Search This Blog

Wednesday, July 20, 2011

UDINESE WAKUBALIANA NA BARCA JUU YA ADA YA SANCHEZ


Hatimaye klabu ya Udinese imekubaliana Barcelona juu ya ada ya uhamisho wa winga wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez.
Kwa mujibu wa Gino Pozzo, mtoto wa mmiliki wa Udinese ni kwamba Barca ambao wamekuwa wakimfuatilia Sanchez kwa pamoja na Premier league giants Man United, Man City, na Chelsea, lakini Catalan club sasa wamefanikiwa kufunga dili hilo.
Akiongea mara baada ya kuwasili nchini Hispania Gino Pozzo alisema: "Makubaliano na Barcelona juu ya uhamisho wa Sanchez umekamilika.

No comments:

Post a Comment