Search This Blog

Friday, July 15, 2011

SUNZU KUWASILI LEO ASUBUHI SAA 3


Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia Felix Sunzu anatarajiwa kuwasili nchini kuja kujiunga na Simba asubuhi hii.

Sunzu ambaye ni moja ya wachezaji waliong'ara katika michuano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP yaliofanyika mwishoni mwaka jana, ameachwa na timu yake ya Al Hilal ya Sudan baada ya kushindwa kuonyesha uwezo mkubwa na hivyo kupelekea nafasi yake kuchukuliwa na raia mwingine wa kigeni ndani ya timu hiyo.

1 comment:

  1. akija atasaisaidia hata kuna umuhimu wa wachezaji wa nje ya nchi hii kuja kwani tukiwakataa haitaweza kutusaidia licha ya kwamba mashabiki wanatakiwa waonywe ili kuleta ladha ya soka uwanjani

    ReplyDelete