Search This Blog

Saturday, July 16, 2011

OFFICIAL: STEWART DOWNING AJIUNGA RASMI NA LIVERPOOL


Winga wa kimataifa wa England Stewart Downing amemalizana na klabu ya Liverpoo na leo ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa majogoo wa jiji kwa £20million.
Downing amesaini mkataba wa miaka 4 na atakuwa akilipwa £80,000 kwa wiki.

EXCLUSIVE INTERVIEW

No comments:

Post a Comment