Search This Blog

Friday, July 1, 2011

VILABU VINANVYOHANGAIKA KUTAFUTA MSHAMBULIAJI-MWANGALIENI HUYU Souleymane Coulibaly.







Kombe la dunia la vijana chini ya umri wa miaka 17 linaendelea huko Mexico.
mpaka sasa majina ya vijana hawa yametokea kuteka hisia za mashabiki wengi wa soka ulimwenguni nao ni Hallam Hope wa England,Ademilson wa Brazil,Samed Yesil wa Germany

Carlos Fierro wa Mexico, lakini kati yao mshambuliaji Souleymane Coulibaly wa Ivory Coast ameibuka shujaa mpaka sasa,akiwa ameshaweka kambani jumla ya mabao 8 huku likiwa limesalia goli moja ili kuifikia rekodi ya mashindano ya kufunga mabao mengi kwenye shindano moja,rekodi iliyowekwa mnamo mwaka 2001 na mshambuliaji Sinama Pongolle aliyekuwa mfungaji bora kwa kufunga jumla ya mabao 9.

No comments:

Post a Comment