Search This Blog

Friday, July 1, 2011

kagame castle cup: match live center. SIMBA VS ETINCELLES

KICK OFF :KIKOSI CHA SIMBA LEO KIMEFANYIWA KIDOGO MABADILIKO AMBAPO SALUM KANONI AMECHUKUA NAFASI YA SAID NASSOR UPANDE WA BEKI YA KULIA,SHIJA MKINA AMECHUKUA NAFASI YA MUSA MGOSI,ATHUMANI IDD AMEANZA KWENYE KIUNGO AKIWA NA MOHAMED BANKA,JERRY SANTO, HARUNA MOSHI AKISAIDIANA NA SALUM MACHAKU KWENYE SAFU YA USHAMBULIAJI,KWENYE NGOME NI JUMA NYOSA NA DERECK WALUHYA,WAKATI AMIR MAFTAH AKIWA NYUMA KUSHOTO NA JUMA KASEJA GOLINI.

DAKIKA 11: MOHAMEDI BANKA ALMANUSURA AFUNGE LAKINI GOLIKIPA WA ETINCELLES AMEOKOA NA IMEKUA KONA.

DAKIKA 14: AMIR MAFTAH ALMANUSURA AFUNGE BAO KAMA ALILOFUNGA KWENYE MCHEZO DHIDI YA OCEAN VIEW.

DAKIKA 17: HARUNA MOSHI AMEPIGA BONGE LA SHUTI LIMETOKA PEMBENI KIDOGO,MATOKEO BADO 0:0

DAKIKA 19: SIMBA WAMEKOSA TENA BAO LA WAZI BAADA YA SALUM MACHAKU KUPIGA CROSS NZURI KUTOKA KUSHOTO MWA KIWANJA NA KUMKUTA BOBAN AMBAYE SHUTI LAKE LIMEMGONGA BEKI WA ETINCELLES

DAKIKA 22: SIMBA INAONGOZA 1:0

BAO ZURI LIMEFUNGWA NA HARUNA MOSHI KWA MGUU WA KUSHO BAADA YA KUMPIGA CHENGA BEKI WA ETINCELLES,
MPIRA ULIANZIA PEMBENI AMBAPO SALUM MACHAKU ALIPIGA KROSI ILIYUNGANISHWA KWA KICHWA NA MOHAMED BANKA NA MPIRA HUO KUGONGA MWAMBA KABLA YA KUMKUTA BOBAN.

DAKIKA 28: ETINCELLES WAMEPA KONA AMBAYO HAIKUZAA MATUNDA.

DAKIKA 43: SIMBA BADO INAONGOZA BAO 1:0
DAKIKA 45: MAPUMZIKO, SIMBA WANAONGOZA BAO 1:0

KIPINDI CHA PILI COMING SOON

KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

ETINCELLES WANAFANYA MABADILIKO ANATOKA ALANI ANAINGI DIEL HARUKIZIMANA

DAKIKA 53: SIMBA WANAKOSA GOLI

DAKIKA54: ETINCELLES WANAPATA KONA LAKINI HAINA MAFANIKIO

DAKIKA58: SIMBA WANAPATA KONA

DAKIKA 59:SIMBA WANAKOSA GOLI

DAKIKA YA 61: SIMBA WANAKOSA GOLI

DAKIKA 64: SIMBA WANAPATA KONA AMBAYO INAKOSAKOSA GOLI

DAKIKA66: SIMBA WANA PATA KONA AMBAYO HAIJAZAA MATUNDA

DAKIKA 67:SIMBA WANAFANYA MMASHAMBULIZI YA HATARI KATIKA LANGO LA ETINCELLES

DAKIKA 69 :SIMBA WANAFANYA MABADILIKO

DAKIKA 75:SIMBA WANAPATA GOLI LA PILI KUPITIA ISSA MGOSI

DAKIKA 78: SIMBA WANA KOSA GOLI

DAKIKA 81:BADO HALI TETE KWA ETINCELLES

DAKIKA 87: SIMBA WANAKOSA GOLI

DAKIA 89: SIMBA WANAKOSA GOLI

DAKIKA92 :SIMBA WANAPATA KONA BILA MAFANIKIO
DAKIKA 93:SIMBA IMEMTOA ETINCELLES KWA MABAO 2-O
NA MPIRA UMEMALIZIKA

No comments:

Post a Comment