Search This Blog
Thursday, July 14, 2011
LADY JAY DEE AWAANDALIA PARTY YANGA @ NYUMBANI LOUNGE
DAVIS MWAPE, PIUS KISAMBALE NA NADIR HAROUB CANNAVARO WAKIINGIA NDANI YA NYUMBANI LOUNGE
LADY JAY DEE AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA YANGA LLOYD NCHUNGA.
SHEDRACK NSAJIGWA AKIMTAMBULISHA JAY DEE KWA WACHEZAJI WENZIE.
WACHEZAJI WA YANGA WAKIPATA PICHA NA SHABIKI WAO LADY JAY DEE.
WANACHAMA WAPYA WA YANGA LADY JAY DEE NA MUMEWE GARDNER WAKIHOJIWA NA CLOUDS TV.
MASHUJAA WA "KAMPALA" ALLY MAYAI NA SALVATORY EDWARD NAO WALIKUWEPO.
SHABIKI MKUBWA WA YANGA ACTOR RAY KIGOSI AKISALIMIANA NA JERRY TEGETE NA LUIS SENDEU.
KEKI YA KUWAPONGEZA MABINGWA WAPYA WA KAGAME CASTLE CUP.
MWENYEKITI NCHUNGA AKITOA SHUKRANI KWA JAY DEE NA MUMEWE.
MWENYEKITI WA YANGA AKIWAKABIDHI KADI ZA UANACHAMA "THE HABASH FAMILY"
WANACHAMA WAPYA WA YANGA LADY JAY DEE NA MUMEWE GARDNER WAKIONYESHA KADI ZAO.
"KATA KEKI TULE" JAY DEE, NSAJIGWA NA LLOYD NCHUNGA WAKIIMBA KUFURAHIA UKATAJI KEKI
GOLIKIPA YEW BERKO AKILISHWA KEKI NA BINTI MACHOZI
IKAFUATIA ZAMU YA JERRYSON TEGETE KULA KEKI
BEKI MPYA WA YANGA GODFREY TAITA AKILISHWA KEKI
MOJA YA WACHEZAJI WALIOKAA YANGA KWA MUDA MREFU FREDY MBUNA NAE AKIPATA KEKI
MUUAJI WA MNYAMA KENNETH ASAMOAH AKILISHWA KEKI NA JA YDEE
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment