Search This Blog

Friday, July 22, 2011

JEZI YA ROONEY YAONGOZA KWA MAUZO


Jezi ya mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney imeongoza kwa mauzo katika msimu wa 2010 - 2011.
Top 10 ya mauzo ya jezi yame-base katika mauzo ya dunia kupitia majina na namba, huku Rooney akiwa mchezaji wa pili wa United tangu Ronaldo aliposhika nafasi ya kwanza msimu wa 2007/08.
list kamili ya Jezi za wachezaji zilizouza
1: Wayne Rooney
2: Fernando Torres
3: Steven Gerrard
4: Javier Hernandez Chicharito
5: Van Persie
6: Lampard
7: Didier Drogba
8: Luis Suarez
9: Andrey Arshavin
10: Ryan Giggs

No comments:

Post a Comment