Search This Blog

Friday, July 15, 2011

BREAKING NEWS: SUNZU ASAINI MKATABA WA MIAKA 2 NA SIMBA


Hatimaye klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia Felix Sunzu kwa mkataba wa miaka 2.

Taarifa rasmi kutoka ndani ya uongozi wa Simba zinasema kuwa mshambuliaji huyo ambaye aliwasili Bongo leo asubuhi amelipwa kiasi cha $35,000 kama gharama za usajili(signing fee).

No comments:

Post a Comment