Search This Blog

Tuesday, July 19, 2011

ARTULO VIDAL: WAKALA WANGU ANAONGEA NA JUVENTUS


Kiungo wa Bayern Leverkusen Artulo Vidal amethibitisha kuwa wakala wake yupo katika mazungumzo ya kuweza kukamilisha uhamisho wake kuelekea Turin Italia kujiunga na Juventus.
Vidal, ambaye amekuwa akihusishwa kwa kiasi kikubwa na kuhamia klabu kadhaa kubwa barani ulaya baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika msimu uliopita akiwa na Leverkusen.
The 24 year-old ambaye aliwahi kunukuliwa akikiri kutamani kuitumikia Juve, na sasa anasema kuwa wakala wake Fernando Felicevich anazungumza na kibibi kizee cha turin.
"Wakala wangu anaongea Juventus, klabu ninayoipenda.Nategemea kupata taarifa nzuri kutoka kwake muda si mrefu.Nina mategemeo mazuri juu ya uhamisho huu kutokana ofa Juve waliyotoa."

No comments:

Post a Comment