Search This Blog

Sunday, June 5, 2011

SOKA YAIPITA NBA KWA UTAJIRI


Ilikuwa haiwezekani kwa kipindi kirefu lakini sasa rasmi mchezo wa soka umekuwa ndio mchezo tajiri kuliko yote duniani kwa mujibu wa Global Sports Salaries Survey, na shukrani ziende kwa Barcelona and Real Madrid.
Vidume hao wa Hispania ndio vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa katika ulimwengu wa michezo duniani na kuzipita ligi za NBA, Basktball na Baseball za Marekani.
Barca wanalipa kwa wastani wa paundi million 4.94 kwa mwaka na paundi 95,081 kwa wiki, hivyo kuwa ndio ndio timu inayolipa mishahara mikubwa kuliko zote duniani ikifuatia na Real Madrid na New York Yank Yankees.
Ligi ya Uingereza imeendelea kuwa Ligi tajiri kuliko zote za mpira wa miguu duniani huku Chelsea na Manchester City zikiwaongoza Man U, Liverpool na Arsenal.

TOP 10 YA TIMU ZINAZOLIPA MISHAHARA MIKUBWA

1) Barcelona
League: La Liga
Average annual pay: £4,944,211
Average weekly pay: £95,081

2) Real Madrid
League: La Liga
Average annual pay: £4,597,895
Average weekly pay: £88,421

3) New York Yankees
League: MLB
Average annual pay: £4,222,688
Average weekly pay: £81,206

4) LA Lakers
League: NBA
Average annual pay: £4,087,931
Average weekly pay: £78,614

5) Orlando Magic
League: NBA
Average annual pay: £3,979,446
Average weekly pay: £76,528

6) Chelsea
League: Premier League
Average annual pay: £3,762,963
Average weekly pay: £72,365

7) Inter Milan
League: Serie A
Average annual pay: £3,749,777
Average weekly pay: £72,111

8) Boston Red Sox
League: MLB
Average annual pay: £3,744,502
Average weekly pay: £72,010

9) Denver Nuggets
League: NBA
Average annual pay: £3,743,859
Average weekly pay: £71,997

10) Manchester City
League: Premier League
Average annual pay: £3,664,741
Average weekly pay: £70,476

No comments:

Post a Comment