
Mfungaji wa goli Mussa Mgosi na Shija Mkina wakichuana na wachezaji DCMP

DC MOTEMA MAPEMBE WAKIFARIJIANA BAADA YA KIPIGO

KUTOKANA NA PUBLICITY MBOVU MECHI HII HAIKUPATA MAPOKEO MAKUBWA KWA WASHABIKI NA KUPELEKEA UWANJA KUWA MAPENGO.
UONGOZI WA SIMBA UJIFUNZE
Mwanamuziki wa Acudo Impact Tatis Masela akiwa uwanjani kuisapoti timu ya DCMP YA NCHINI KWAO CONGO

Sports Extra Crew wakimuhoji Makamu Mwenyekiti wa Simba

Mashabiki wa Simba wakishangalia ushindi wa timu yao

Kiungo huyu wa DCMP aliwasumbua sana Simba
No comments:
Post a Comment