Search This Blog

Wednesday, June 8, 2011

Ronaldo Luís Nazário de Lima aagwa rasmi !!

Ronaldo de lima akiwa uwanjani kwenye mechi ya kumuaga
kati ya Brazil na Romania iliyopigwa Sao Paolo,



Ronaldo akiwa na Robinho pamoja Kijana Neyma kwenye


mchezo maalum wa kumuaga dhidi ya Romania ambapo Brazil


ilishinda bao 1-0 kwa bao Mshambuliaji Fred.




KWELI HAKUNA MAREFU YASIYOKUA NA NCHA!!!!


KWAHERI EL FENOMENA!!!!!








1 comment:

  1. duh ilo kweli kijana alikuwa kama messi lkn duh inasikitisha hadi huruma duh!!!!

    ReplyDelete