NOWITZKI AIBEBA DALLAS KWENYE FAINALI ZA NBA.
MIAMI WAJITUTUMUA LAKINI MWISHOWE WALIAMBULIAKICHAPO CHA POINTI 86-83.
Le Broin James akiwa chali baada ya MIAMI HEAT kupoteza mchezo WA NNE.
sasa ngoma ni draw 2-2.
Dirk Nowitzki alikua nyota wa DALLAS BAADA YA KUFUNGA JUMLA YA POINTI 21,HUKU DWAYNE WADE WA MIAMI AKIFUNGA PONTI 32.
No comments:
Post a Comment