Search This Blog

Thursday, June 23, 2011

MAN UNITED YATHIBITSHA KUMSAJILI ASHLEY YOUNG


Klabu ya ligi kuu ya Uingereza Manchester United leo wamethibitisha kumsajili winga Ahley Young kutoka Aston Villa kwa mkataba wa miaka mitano, baada ya kufaulu vipimo vya afya jana jioni.


Young anakuwa mchezaji wapili kuthibitishwa kusajiliwa na Man United bada ya Phil Jones wiki iliyopita.




Karibu O.T YOUNG

No comments:

Post a Comment