Search This Blog

Tuesday, June 7, 2011

LASSANA DIARA - NITAONDOKA MADRID KWA AJILI YA PREMIER LEAGUE PEKEE


Lassana Diarra amezungumza leo na kusema kuwa ataondoka Real Madrid ikiwa atapata timu nzuri ya kuichezea kwenye ligi ya England pekee.

Mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal, Chelsea and Portsmouth amekuwa akihusishwa na na kutaka kurudi England lakini kikwazo ni Jose Mourinho ambaye anaonekana kutaka kukimaimarisha kikosi chake.

Diarra ambaye amekuwa akizivutia klabu za Manchester United, Liverpool, na Tottenham anasema anaweza kuondoka Santiago bernebeu ikiwa tu atapata nafasi ya kuichezea timu in EPL.

"Nikitakiwa kuondoka Madrid basi ni sehemu moja itakayonifaa Baclays Premier League," aliiambia Skysports.com

"Nilikuwa na furaha nilipokuwa pale, zaidi mwaka wangu wa mwisho na Portsmouth niliposhinda kombe la FA."


No comments:

Post a Comment