Search This Blog

Thursday, June 30, 2011

KAGAME CASTLE CUP: YANGA 2-0 ELMAN


yanga wakishangilia bao.





Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape (kulia) akitafuta mbinu za kutoka beki wa
Elman FC, Mohamed Hassan Ali wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame Castle kwenye
uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo


Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Nurdin Bakari akimtoka mchezaji wa Elman FC ya
Somalia, Saad Salah Hassein wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo



kikosi cha Yanga.

kikosi cha Elman ya Somalia

No comments:

Post a Comment