Search This Blog

Friday, June 10, 2011

ARSENAL WAKARIBIA KUMNYAKUA CHAMBERLAIN NA MAN UNITED WATOA OFFER KWA AJILI YA NASRI


Inaaminika kuwa Arsene Wenger anakaribia kumnasa kwa £ 12 million Alex Oxlade Chamberlain kutoka Southamton .

Winga huyo mwenye kipaji anatarajia kutimiza umri wa miaka 18 mwezi wa nane mwaka huuyupo kwenye mapumziko akiwa anafahamu fika kuwa atathibitishwa kuwa mchezaji wa Arsenal Julai 1.

The deal for the Southampton academy graduate - ambaye anaonekana kama Theo Walcott mpya amekuwa akifuatilia na timu za Liverpool na Manchester United lakini Wenger anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kumsaini kinda huyo wa kiingereza.

Wakati huo huo DailyMail wanaripoti kuwa Manchester United wanapanga kuwasilisha ofa ya paundi millioni 10 kwa ajili ya kumsajili Arsenal's midfielder Samir Nasri.

Wakala wa Nasri Jean Pierre Bernes bado hajahusishwa na jambo lolote kuhusu dili mpaka United watakapowasilisha ofa yao rasmi .


2 comments:

  1. sasa hawa man u nited wanataka 2shuke daraja au ? na uyo wenger anasajili watoto 2 2 mechokaka nipe mail wenger

    ReplyDelete
  2. je ni kweli kwamba fabrigous akienda fc barcelona tutapata faida ya wachezaji wawili?

    ReplyDelete