Search This Blog

Sunday, May 15, 2011

RUFAA YA SIMBA SPOTS CLUB YAITUPA NJE TP MAZEMBE.



Shirikisho la mpira wa miguu CAF jana lilipitisha rufaa ya simba na kuitupa Tp mazembe nje baada ya kumchezesha mchezaji JANVIER BESALA BOKUNGU.
Nakuifanya simba isonge mbele aidha CAF imesema utapigwa mcheza kati ya simba na Wydad casablanca katika uwanja ambao ni neutral venue wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment