Search This Blog

Sunday, May 15, 2011

MANCHESTER CITY BINGWA KOMBE LA FA CUP BAADA YA KUIFUNGA STOCK CITY 1-0 KATIKA UWANJA WA WEMBLEY.





Kwa mara ya kwanza katika miaka 35, Manchester City kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Stoke City katika Kombe la FA katika uwanja Wembley. Yaya Toure alifunga bao pekee katika dakika ya 75.

No comments:

Post a Comment