Search This Blog

Wednesday, May 11, 2011

AZAM FC NDANI YA JEZI MPYA KWAJILI YA MSIMU UJAO.

JEZI YA UGENINI AMBAVYO ITAKAVYOONEKANA.

JEZI YA NYUMBANI AMBAVYO ITAKAVYOONEKANA.

4 comments:

  1. mbona tim kubwa haziigi mfano wa timu hiii ndogo inayochipukia?
    nitaanza kuishangilia AZAM kuanzia msimu ujao tena nitachukua na kadi ya uanachama.

    ReplyDelete
  2. Safi Azam natumaini timu hii itafika mbali sana nami naanza kimbia chama langu maana ni pumba tu kila kukicha ona dogo huuyu anakuja na maplan mazuri mpaka unaona gere aibu kwa wanamsimbazi na wana jangwani

    ReplyDelete
  3. KAKA SHAFFIH, BIG UP. MIMI NI SHABIKI MKUBWA SANA WA DAR YOUNG AFRICAN F.C. TANGU NIKO MDOGO WAKATI DINGI ANANIBEBA BEGANI KWENDA KUWAANGALIA AKINA ABEDI AIR, MAKUMBI JUMA, TINGISHA NA WENGINEO AKINA TUNGARAZA SEKILOJO CHAMBUA. HAWA AZAM WANA UWEZO MKUBWA KIFEDHA KULINGANISHA NA VILABU VIKUBWA VYA YANGA NA SIMBA. KWA SASA HASA YANGA WANAJIPANGA VILIVYO KUHAKIKISHA WANAKUWA NA UWANJA WAO WA MAZOEZI NA LIGI KUU. KWA UONGOZI HUU ULIOPO MADARAKANI WANAWEZA KUFANYA HIVYO. ILA NINACHOHOFIA UTAIBUKA MGOFORO MKUBWA HASA KWA WANANCHI WALIOJENGA KARIBU NA UWANJA HUO AMBAO WATAAMNIWA WAHAME KWA KUVAMIA ENEO HILO. DALILI MOJA TAYARI HASA KUPOTEA KWA HATI YA KIWANJA.

    ReplyDelete
  4. Kama soka la bongo wangeiga mfano wa Azam Fc tungekuwa tumefika mbali sana lakini tatizo la viongozi na watendaji wa club kma simba na yanga hawahitaji mabadiliko.....suala la kuwa na wazee wa timu silikatai lakini ukiangalia kwa undani wao ndo wachawi wa timu na chanzo cha migogoro kwenye timu....nawasihi sana kubadili mfumo mzima wa kuendesha timu zenu....I am a new AZAM FC Fan

    ReplyDelete