Wadau mbalimbali wa Michezo wakiwa katika ukumbu wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. |
Viongozi wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro (KBA)wakiongozwa na mwenyekiti wao Elikunda Kipoko(mwenye tai) |
Viongozi wa chama cha mchezo wa Karate mkoa wa Kilimanjaro. |
Baadhi ya wadau mchezo wa soka Abdalah Hussein,Ismail na Ally Kindoile. |
Viongozi wa timu ya Panone fc ambao ni mabingwa wa mkoa wa Kilimanjaro. |
Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Issa Faisal akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa michezo mkoa wa Kilimanjaro. |
Viongozi wa chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro. |
Viongozi wa shirikisho la filamu mkoa wa Kilimanjaro. |
Mdau namba moja wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,mkuu wa mkoa Leonidas Gama akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano huo. |
Afisa utamaduni wilaya ya Mwanga Eva Ganda akitoa taarifa ya wilaya yake. |
Mwenyekiti wa chama cha soka manispaa ya Moshi,Japhet Mpande akichangia hoja katika kikao hicho. |
Kocha wa timu ya Kitayosce Hamad Haule akichangia jambo katika kikao hicho. |
Mjumbe wa kamati ya mashindano Waziri akichangia jambo katika kikao hicho. |
Kamishna wa michezo ya ligi kuu ,Kikwamba akichangia jambo katika kikao hicho. |
Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro(KRFA)Mohamed Musa akichangia jambo katika kikao hicho. |
Mwakilishi wa vilabu manispaa ya Moshi ,Amri Kiula . |
Baadhi ya wadau wa michezo. |
Afisa utamaduni wilaya ya Moshi Shaban Ngume . |
Baadhi ya maofisa utamaduni. |
Viongozi wa timu ya Panone fc. |
Wadau. |
Mdau Abdalah Mtwenge akifuatilia kimya kimya hoja zilizokuwa zikitolewa katika kikao hicho. |
Wajumbe wa kamati ya mashindano. |
Viongozi wa timu ya Machava. |
Makamu mwenyekiti wa kamati ya mashindano Darabu Darabu maarufu kama Born Leader akichangia jambo. |
Wajumbe wa kamati. |
Wadau wakipata chakula mara baada ya kikao kumalizika. |
Born Leader akizungumza na mdau Ally Kindoile. |
No comments:
Post a Comment