Search This Blog

Tuesday, April 1, 2014

LISTI YA WACHEZAJI BORA MAKINDA 2013/2014 - ADNAN JANUZAJ WA MAN UNITED AONGOZA


Gazeti maarufu nchini Italia Gazzetta Dello Sport limetoa listi ya wachezaji bora 60 vijana katika soka barani ulaya, jana jumatatu, na kinda wa klabu ya Manchester United Adnan Januzaj amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza, huku Gazzetta, likisema kwamba mchezaji na sifa za ziada kuwashinda wenzie.

Kinda wa kibrazil wa Chelsea Lucas Piazon ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Vitesse kwa mkopo ameshika nafasi ya pili, huku kuanzia namba 3-10 zikienda kwa Marquinhos wa PSG, Gerard Deulofeu, Raheem Sterling, Zakaria Bakkali (PSV), mchezaji wa Schalke Leon Goretzka, beki wa Southampton Luke Shaw, Domenico Berrardi, na wa mwisho katika 10 bora ni Lucas Ocampos wa Monaco.

LISTI KAMILI IPO KAMA IFUATAVYO
01 mediagallery article Man Uniteds Adnan Januzaj named the best youngster in Europe by Gazzetta, Chelseas Lucas Piazon is 2nd02 mediagallery article Man Uniteds Adnan Januzaj named the best youngster in Europe by Gazzetta, Chelseas Lucas Piazon is 2nd03 mediagallery article Man Uniteds Adnan Januzaj named the best youngster in Europe by Gazzetta, Chelseas Lucas Piazon is 2nd04 mediagallery article Man Uniteds Adnan Januzaj named the best youngster in Europe by Gazzetta, Chelseas Lucas Piazon is 2nd

No comments:

Post a Comment