Search This Blog

Wednesday, April 9, 2014

DAUDA TV: LEO NAWEKA MZIGO KWA ATLETICO MADRID NA MANCHESTER UTD KUFUZU NUSU FAINALI,WEWE NINI UTABIRI WAKO ?

3 comments:

 1. Unatania admin! Kwamba Man U ipite mbele ya Bayern yenye washabiki kwake. Hii siyo km ile ya the blues walipoonyesha bahati yao Allianz Arena 2012. MAN U OUT!!!

  Mechi ya Barca na Atletico, ile ni mechi ya vidume. Pale labda historia imbebe Barca. Ila Barca ana mechi ngumu na yenye upinzani si tu wa kiwango bali hâta miji watokazo timu hizi mbili. ATLETICO OUT!!!!!

  NAWASILISHA......

  ReplyDelete
 2. MAN U WAKIFUZU NAMEZA KANDAMBILI!!!
  ATLETICO SAWA WANA UWEZO NA MPIRA UTAPIGWA KWELI ILA MAN CHOKA MBAYA SAAANA KAMA KOCHA WAO

  ReplyDelete
 3. mpira nimeenda kwa babu mwanalumango kaniangalizia kanambia kuna tim itafungwa 3—0 hakutaka kunambia tim gani na azam 0-1 wanafungwa

  ReplyDelete