Search This Blog

Friday, March 7, 2014

VIDEO: ANGALIA WACHEZAJI WA CHELSEA WAKICHEZA WIMBO WA TUPOGO WA OMMY DIMPOZ


Mtanzania anayekipiga timu ya Chelsea Adam Nditi amewarekodi wachezaji wenzie wa Chelsea wakiwa wanacheza wimbo wa mwanamuziki wa kitanzania Ommy Dimpoz uitwao 'TUPOGO'

3 comments:

  1. we nae unatuzinguaa..tuangalie wap sasa..?

    ReplyDelete
  2. Kweli ndugu.shaffih eee acha kutuona si ma poyoyo bwana.au hz video hadi utumie laptop ndipo uzione?kwakutumia simu haiwezekan kuona kaka?eeh?

    ReplyDelete
  3. Hapana labda sim yako ndo tatizo au network ni tatizo. Mm nimeichek mwanzo mwisho. na natumia sim ya htc desire c

    ReplyDelete