Search This Blog

Monday, March 24, 2014

SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU UWANJA WA TAIFA NA COASTAL UNION

Wachezaji wa Simba wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wao na Coastal Union ya Tanga.
Wachezaji wakisalimiana.
 Benchi la ufundi la Simba.
 Kikosi cha Coastal Union ya Tanga.
 Kikosi cha Simba.
 Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao.
Mashabiki wa Simba wakichagiza ushindi.
 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Coastal Union ya Tanga, Hamadi Juma katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Coastal ilishinda 1-0. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akimtoka beki wa Coastal Union ya Tanga, Mohamed Mtindi katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa taifa.
 Wachezaji wa coastal wakishangilia ushindi wa timu yao.
 Mashabiki wa simba wakiwa wameduwaa baada ya kumalizika kwa mchezo na kupata kipigo cha bao 1-0.
Wachezaji wa Coastal Union wakiomba duwa baada ya kumalizika kwa mchezo.

Francis Dande +255784 62 39 58 +255713 62 39 58 www.francisdande.blogspot.com

No comments:

Post a Comment