Search This Blog

Monday, March 3, 2014

MIBS PAMOJA NA WADAU MBALI MBALI WALIONASWA NA KAMERA YETU KWENYE KILIMANJARO MARATHONI.

    Baadhi ya wadau wa MIBS, Dominic Mosha na Gilbert walikuwepo kuwakilisha.


 NSSF iliwakilishwa na Crescentus Magori Mwenye T shirt nyekundu pamoja na wadau wengine kwenye picha kama vile mwanadada Marieta Kileo mwenye tshirt ya 'Mbeya City'.
  Godfrey Woiso alikuwepo pia ndani ya Kilimankaro Marathoni.
Shaffih Dauda pamoja na wadau wa Ushirika Moshi Veterans,wa mwisho kulia ni kiungo wa zamani wa Ushirika ya Moshi Jaafar Kiango.

Gilbert pia alikuwepo.....

No comments:

Post a Comment