Search This Blog

Sunday, March 2, 2014

LIVE SCORE: SIMBA SC 3 - 2 RUVU SHOOTING


Uwanja wa Sokoine Mbeya, wageni Mgambo bado wako mbele 1-0 dhidi ya Prisons mpira unaendelea. Uwanja wa Taifa zinachezwa dk 2 za nyongeza

FT: Simba 3 Ruvu Shooting 2

90’ Simba 3 Ruvu 2

Ruvu Shooting wanajipatia goli la pili kwa mkwaju wa penati katika dk ya 83 baada ya Joseph Owino kuushika mpira uliokuwa ukielekea lagoni sasa ni 3-2 dk ya 85

80’ Simba 3 Ruvu 1

Simba wanafunga la 3 kupitia kwa Chanongo 3-1 dakika 77.

Goooooooooooaaaaaaal Ruvu wanapata bao la kwanza 2-1

70’ Simba 2 Ruvu 0

Uwanja wa Kaitaba ni mapumziko, Kagera Sugar wakom mbele 1-0 goli limefungwa na Erick Kyaruzi dk ya 43. Nako kwenye uwanja wa Azam Complex, Ashanti Utd wanaongoza 1-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora


DK 52 Simba 2 - 0 Ruvu

DK  49 Simba bado wako mbele 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting

Kipindi cha pili kinaanza

Mpira ni mapumziko Simba wapi mbele kwa mabao mawili yaliyofungwa na Tambwe

 DK 44 - Simba 2 - 0 Ruvu Shooting

3 comments:

  1. Hivi Sunzu kumbe bado yupo Simba....plz be up to date..

    ReplyDelete
  2. Simba hatakama kanyeshewa naupuuzi wa viongozi bado ataitwa simba

    ReplyDelete
  3. hatuwezi kujenga tim upya bila kuondoa walio ibomoa!

    ReplyDelete