Search This Blog

Monday, March 24, 2014

LIONEL MESSI AICHINJA REAL MADRID - AWA MFUNGAJI BORA WA EL CLASICO WA MUDA WOTE

Lionel Messi jana usiku alivunja rekodi nyingine katika soka, baada ya wiki kupita tangu awe mfungaji bora wa muda wote wa FC Barcelona, usiku wa jana katika dimba la Santiago Bernabeu alifunga hat trick yake ya kwanza iliyomfanya kufikisha jumla ya mabao 21 katika El Classico.

Kwa maana hiyo Messi amevunja rekodi ya mabao 18 iliyokuwa ikishikiliwa na Alfred Di Stephano.


LISTI YA WAFUNGAJI BORA WA EL CLASICO WA MUDA WOTE

Player

Lionel Messi

Alfredo Di Stefano

Raul Gonzalez

Cesar Rodriguez

Francisco Gento

Ferenc Puskas


Club

Barcelona

Real Madrid

Real Madrid

Barcelona

Real Madrid

Real Madrid
Goals
21

18

15

14

14

14

No comments:

Post a Comment