Search This Blog

Monday, March 10, 2014

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA - BADO SIKU 94 - HILI NDILO GOLI BORA LA SIKUZikiwa zimebaki siku 94 kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia huko Brazil - mtandao kuanzia leo utakuwa unakuletea mabao bora kabisa kuwahi kufungwa kwenye michuano ya kombe la dunia. Hili goli la Maicon alilofunga dhidi ya South Korea limeshika nafasi ya 94. Kesho na siku zitakavyokuwa zinaenda tutaendelea kukuletea mabao mengine bora kabisa tukihesabu kwa namba kuelekea chini.

No comments:

Post a Comment