Search This Blog

Monday, March 17, 2014

DAUDA TV: KUELEKEA BRAZIL: SIKU 87 ZIMEBAKI.Roberto Carlos aliifungia Brazil bao la kwanza na pekee kwenye mchezo wake 87 dhidi ya China,
Mchezo huo ulikuwa ni kombe la dunia la mwaka 2002 hatua ya makundi,alilifunga staili ya mpira uliokufa.
Kwenye mchezo huo Brazil ilishinda mabao 4-0 mengine yakiwa yamefungwa na Rivaldo, Ronaldo na Ronaldinho.

No comments:

Post a Comment