Search This Blog

Sunday, March 2, 2014

BAADA YA MALUMBANO YA KUTOONYESHWA 'LIVE' MECHI YA YANGA NA AL AHLY,MGB WATOA STATEMENT!


 Majibu ya YANGA! Statement ya MGB!!
My attention has been drawn to reports emanating from a section of Yanga SC’s leadership, insinuating that the rights holders was behind the unfortunate incident where Tanzanians were unable to view the match.

As per the contract we signed with Yanga, we were to broadcast the match in Middle-East and North-Africa.

 The mandate to televise in Tanzania territory was not in our domain.
Yanga FC signed a contract with MGB, and within the stipulated time frame, MGB wired a deposit from their account account in Egypt to Yanga’s bank account.

But we encountered an unfortunate beyond our reach and our team from Cairo couldn’t board their flight on time.

Despite a written letter on Egyptian Embassy letter-head by the deputy ambassador that MGB is a reputable agency, despite guarantee’s from TFF president, Jamal Malinzi and the Egyptian Ambassador in Egypt, despite numerous guarantee’s by Al Ahly FC management that they will pay the cash after the match, Yanga FC were adamant.

When they finally saw sense, it was unfortunate that Star TV had already made their way back to their offices and it was too late.

The matter has not only caused discomfort to Tanzanians, but Egyptians as well and has left a sour taste in an era where  countries are trying to build relations, and especially in football where we are in the era of player transfers and knowledge sharing.

It was a good opportunity for Tanzanian players to showcase their talent to the Middle-East and North Africa, generate interest and maybe get requests from foreign clubs for players to transfer thereby boosting revenues of the club but due to the unfortunate circumstance, this was not to be. And moreso that Yanga won, it would be a household name world over with people watching clips on Youtube of the goal scorer.

MGB Agency.

7 comments:

 1. Statement ya azam ni ya kitoto, kwa nini wanajifanya kuwa wao wasamalia hivyo kwa unafiki? Kama ni kweki wanataka kuinua mpira wetu, si waende wakaonyeshe bure ligi ya Zanzibar?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Azam wanatusaidia mpaka sasa. Unaposema waende wakaonyeshe bure ligi ya zanzibar, sidhani kama tatizo ni malipo. Kwani wanavyoonyesha hapa bongo wanalipwa nini?? Wao ndio wanaozilipa klabu kwa kuonyesha mechi zao. Soma na statement ya MGB utajua tatizo lilikuwa wapi. Kila mtu anajua wana bifu na Yanga, na kwa bahati mbaya Yanga ataendelea kuwa looser kwenye hili bifu, wala halitawasaidia kamwe kwa sababu Yanga kama taasisi hawana uwezo kama ilivyo Azam. Kikubwa ni ushirikiano katika kukuza mpira wa Tanzania.

   Delete
  2. Hamna kitu wewe, hujui kuonyesha mpira Azam anapata faida kiasi gani,,,, nani anaweza kufanya kazi bure especially ya media? very expensive and profitable. Fanya utafiti ndo uanze kusema yako wewe,,,,

   Delete
 2. Nakubaliana na Yanga, siku hizi hakuna mambo ya mkopo! kama walitaka walitakiwa walipe kiwango then wapewe kuonyesha. Leo hii simba wanahangaika na Okwi sababu ya mambo ya mkopo. Lazima watu waende kibiashara

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umesema kweli, Biashara asubuhi kwa kweli, waarabu ndio zao, Je kweli walishindwa kulipa hizo hela? hao magarator wao, nao walishindwa kuwakopesha? Unapotaka tender yoyote lazima kwanza kuwe na uwezo binafsi wa kufanya kila kitu. Yanga wana wasomi wengi,,, sio wengine mtu mmoja anaamua kuuza mchezaji kwa mkopo bila kuhusisha wengine.

   Delete
 3. statement ya mwisho ya MGB inaeleza ukweli wote, watanzania lazima tubadilike. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa televisheni yenye ubora wa kimataifa tanzania ni Azam peke yake. Tuachane na mabifu ya kitoto. Yanga na timu nyingine zishirikiane na wadau wote ikiwemo Azam TV kuboresha mpira wa Tanzania. Sidhani kama Azam wana njaa ya kuanza kuleteana bifu na Yanga.

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe ndugu yangu, kwa nini unawatetea? au nawe umekuwa Shaffih anamtetea mwarabu? Yanga hamna mkopo,,,,, Cash to Cash. tena in full

   Delete