Search This Blog

Tuesday, February 25, 2014

TETESI: KOCHA WA TAIFA STARS KIM POULSEN KUTIMULIWA NDANI YA MASAA 48 - HAJAHUSIKA NA UTEUZI WA KIKOSI KILICHOITWA LEO3 comments:

  1. hata aje morinho kwa mfumo.wetu wa mpira hatufiki kokote kwanza tuwe na ligi yenye ushindani sio.ligi yakununua marefa na wachezaji tueke mikakati ya kuwasaidia wachezaji wetu wacheze nje ya tanzania au ulaya

    ReplyDelete
  2. Hizi ni njama za Kitchen cabinet ya Rais wa TFF ili wapate ten percent kwenye mshahara wa kocha watakayempa nafasi hiyo,kumbuka hapa ni us dollar siyo madafu na hawa jamaa wana njaa kali kwani wengine hawana ajira hapa mjini.DHANA YA MABADILIKO INAWASUMBUA HAWA JAMAA NA WANADHANI NI KUONDOA KILA KITU WALICHOKIKUTA NA KUWEKA CHA KWAO

    ReplyDelete
  3. Serikali imesema haitahusika na kulipa gharama za kuvunja mkataba! Nadhani TFF wana pesa nyingi za kuchezea. Malinzi anapaswa kuwa makini. Inaelekea viatu vya Tenga vinakuwa vikubwa kwake!!!!

    ReplyDelete