Search This Blog

Sunday, February 2, 2014

SIMBA YAITANDIKA OLJORO MABAO 4-0,AMIS TAMBWE AFUNGA HAT TRICK

 shambuliaji wa Simba,Amis Tambwe (kushoto) akiwatoka mabeki wa Oljoro JKT ,Nurdin mohamed (kulia) na Aziz Yusuf  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara,kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 4-0.
 Mshambuliaji wa Simba,Amis Tambwe (katikati) akiwatoka wachezaji wa  Oljoro JKT,wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara,kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 4-0.
Wachezaji wa Simba wakimpongeza kiungo wao,Jonas Mkude (wapili kulia) baada ya kufunga goro wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara,kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 4-0.

No comments:

Post a Comment