Search This Blog

Monday, February 17, 2014

MJADALA: TAZAMA VIDEO NA PICHA ZA MNATO KISHA TOA MAONI YAKO NI KWELI LIVERPOOL WALINYIMWA PENATI NA HOWARD WEBB DHIDI YA ARSENAL?


irMVhlpuQdoq Stonewall penalty! Luis Suarez taken out by The Ox, Howard Webb bottles it! [Arsenal Liverpool]
Kocha wa Liverpol Brendan Rogers amelalamika kwamba mwamuzi Howard Webb aliinyima penati timu yake na kusababisha timu yake kutolewa katika Kombe la FA. Angalia ushihidi huu wa picha na video kisha toa maoni yako. Je hii ilikuwa penati kweli?


Arsenal 2-1 Liverpool (All Goals) 16... by ourmatch4 comments:

  1. maamuzi hayakua mazuri kwa kila timu,.webb alionekana kutokua makini tangu mwanzo wa mchezo,kumekua na makosa kadha wa kadha lakini mwisho ndo imekua ivyo,steven gerrard baada ya kucheza faulo na kupewa kadi ya njano,pia kipindi cha pili alicheza faulo nyingine ambayo alihitajika kupewa njano nyingine ikifuatiwa na nyekundu,.lakini cha ajabu wachezaji wenye majina makubwa wa kiingereza hawapewi kadi nyekundu,mifano ninayo,...pia steven alinawa mpira ndani ya box ambayo ingezaa tuta,..skrtel beki ya liver ilimchezea faulo mbaya santiago ndani yan ya eneo la hatari ambayo ingezaa tuta na angepewa kadi kwa faulo ile,lakini webb akachuna,..sioni sababu ya yeye kulalamikia matokeo ayo kwani arsenal ilistahili ushindi,..suarez anatambulika kwa janja nyingi uwanjani kwaiyo marefa wengi wanamchukulia kama msanii tu,.

    ReplyDelete
  2. KWA HII PICHA ILISTAHILI PENALT COZ SUAREZ NDIO ALIINGIA NA MPIRA KWENYE BOX NA CHAMBALAIN AKIWA ANATAKA KUUPIGA ULE MPIRA ALIMPIGA SUAREZ NA KUPELEKEA SUAREZ KUSHINDWA KUUCHEZA ULE MPIRA SO ITS MEAN CHAMBALAIN AIFANYA OBRACTION KWA SUAREZ SO KWA MM NI REAL PENALTY WALISTAHILI KUPEWA LIVERPOOL.

    ReplyDelete
  3. hii si penalty couz kilicho fanyika pale yule chambalain alikua anatakuucheza mpira akaukosa na ndipo akakutana na suarez na kama mnavyo mjua yule akaona ndo nafasi akaamua kujirusha kama kawaida yake nan asie mjua suarez kama ni wakujitupa hapa mm naona webu alikua sahihi kabisaaaaaaa

    ReplyDelete