Search This Blog

Wednesday, February 19, 2014

MJADALA: JE PENATI WALIYOPEWA BARCELONA HAPO JANA DHIDI YA MAN CITY WALISTAHILI ?

   


'Pellegrini amshutumu mwamuzi Eriksson kwa kuwazawadia penati Barcelona..’’Messi alipewa penati kwasababu alikuwemo kwenye kikosi cha Barcelona’’
Mwamuzi alikuwa sahihi kutoa penati …..na pia kumuonyesha kadi nyekundu Demichelis- Graham Poll

2 comments:

 1. Hii ni penalty why...
  kwanza nianze kwa kusema ni kweli first contact ya demichellis ilikuwa nje ya box na messi hakuanguka and that does not make it to be penalty na pengine messi angeenda kufunga ila sasa demichellis aliendelea kuserereka na kumkwatua tena hapo sasa ikiwa ndani ya box na messi kwenda chini so second contant is what make it a penalty..pengine messi asinge anguka ila contact ya kwanza angefunga na wala kusingekuwa na red card...
  watu wamekomaliza first contact..first contact haihusiki kwenye hii red na penalty people should get this straight....talk about second contact na demichellis kuwa ndani ya box..alimgusa tena na kuanguka and thats make it a penalty na red....
  so tunapojadili hili tuanze kwenye last contact na sio kwenye first contact kwani hata angempa contact mia mbili nje ya box as long as messi asingeanguka na kufunga au kupiga nje au kipa kudaka no problem..ila iliyomwangusha messi ni muendelezo wa beki kuhold miguu yake hadi ndani na kumuangusha messi...japo alishaluz balance since first contact was hard.....simple!

  Classic

  ReplyDelete
 2. Yeyote aliangalia marudio ya picha hawezi kubisha kuhusu hiyo penati. Demichelis alipga tacklng ambapo pia ALINYANYUA MIGUU yake na kumkwatua Messi kwa mbele. Lakn mwanzo alinuia kupga mpira na Messi alipoingia ndan ya box beki akafanya ujnga wa kunyanyua miguu...IT WAS A CLEAR PENALTY,hat mimi ningetoa!

  ReplyDelete