Search This Blog

Saturday, February 15, 2014

LIVE SCORE: MBEYA CITY 1 - 1 SIMBA SC - YANGA 5 - 2 KOMORIZINE FULL TIME


FT' Mbeya City 1 - 1 Simba

90+4' Mbeya City 1 - 1 Simba

90' Mbeya City 1 - 1 Simba

Ashanti United 0- 0 Kagera Sugar - Full time

85' Mbeya City 1 - 1 Simba

Ruvu Shooting 1 - 0 Coastal Union

Komorozine de Domoni 2 - 5 Yanga 
Kiiza 13, Ngasa 22, 87, 90 Msuva 37

75' Mbeya City 1 - 1 Simba

 52' Mbeya 1 Simba 1 Amisi Tambwe

Kipindi cha pili cha mchezo tayari kimeanza uwanja wa Sokoine.

Mpira ni mapumziko Mbeya City wanaongoza kwa bao moja.

Wakati huo huo  - 55` Ashanti utd 0-0 Kagera Sugar

26`Mbeya City 1-0 Simba


18" Mbeya city 1-0 Simba (Bao la penati)


10" Mbeya City 0-0 Simba SC


5" Mbeya City 0-0 Simba SC


2 comments:

 1. Fuuull TIME
  Komoro 2-5 Young Africans
  Yanga inasonga mbele kwa jumla ya mabao 12-2
  - Mabao ya Yanga yamefungwa na Ngassa (Mabao matatu), Kiiza na Msuv

  ReplyDelete
 2. Simba inapaswa kumlaumu kocha loga kwa kufanya sub zilizopunguza kasi ya mchezo na mashambulizi .hii ni pale alipo watoa chanongo,singano na ndemla na kuingia zahoro,awadh na edo,kama simba isingefanya mabadiliko hayo kulikuwa na uwezekano wa kupata goli la ushindi kutokana na kasi na maelewano ya wachezaji walio fanyiwa sub

  ReplyDelete